Monday, October 17, 2011

Philippians (Wafilipi) 2:10-11 KISWAHILI: Kiswahili Bible CLT (HNV)


Philippians (Wafilipi) 2:10-11
KISWAHILI: Kiswahili Bible CLT (HNV)
10 Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake,
11 na kila mtu akiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.

No comments:

Post a Comment