Monday, October 17, 2011

Philippians (Wafilipi) 2:10-11 KISWAHILI: Biblia ya Kiswahili Toleo la Muungano (SUV)


Philippians (Wafilipi) 2:10-11
KISWAHILI: Biblia ya Kiswahili Toleo la Muungano (SUV)
10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;  
11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.

No comments:

Post a Comment